E bana e....
Nilisikia jamaa eti alimwambia demu..."Hivi kwa urembo huu wewe kweli unakun****ga" jamaa akatolewa mkuku. Haya mambo ni magumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajukuu wa Kunta Kinte wanawabeba![emoji2] [emoji2]
Hapa kama ni mwanamke mpenda pesa basi hakikisha haufulii wakati wa kutoa ahadi hii21.Natamani maisha yangu yote nikuone ukiwa na furaha.