Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Cc. CarbaSaid you are leaving someone swept your heart away [emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443]
COLEWORLDLOVESYOU
Kwa hali ya sasa aisee mambo yamegeuka sana. Ni kuvumiliana tu. Nina rafiki yangu miaka hii miwili yaani jamaa kaadhirika sana baada ya kuachishwa kazi na biashara zake kugoma ila mkewe amekamata familia vizuri na wanaendelea vizuri. Inatokea !!!
NashukuruNafurahia uwepo wako.
COLEWORLDLOVESYOU
Toa siri Numbisa. Mwaga matirio. Maneno matamu hata kama ni ya uwongo?Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu.Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka,Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza .
Uongo unanogesha mapenzi ujueToa siri Numbisa. Mwaga matirio. Maneno matamu hata kama ni ya uwongo?