Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni aibu na fedheha kulelewa mtoto wako na baba wa kambo wakati wewe upo unaishi na unajiita kidume 12. Ni aibu na fedheha kukaa kwenye nyumba yenye fenicha zoote kanunua mkeo 13. Ni aibu na fedheha kusimamia ujenzi wa nyumba ya mkeo wakati wewe huchangii hata shilingi mia 14. Ni aibu na fedheha kulea mtoto ambaye sio wa kwako kwa kisingizio cha kitanda hakizai haramu wakati mkeo anajua mtoto yule sio wa kwako. 15. Ni aibu na fedheha kulala kimapenzi na mwanamke ambaye anajua kuwa wewe unajua na unaushahidi wa michepuko yake 16. Ni aibu na fedheha kumbembeleza mwanamke anayejua kuwa anakukosea kwa makusudi
 
Screenshot_2017-10-27-20-35-00.png
 
aibu na fedheha kumaliza makanisa ukiwahadithia wachungaji tabia mbaya na usaliti wa mkeo/mmeo 18. Ni aibu na fedheha mkeo/mmeo kukunyima unyumba ukaenda kumshitaki kwa wazazi wake wakati unajua cha kufanya 19. Ni aibu na fedheha kila mara kukopakopa kwa wakwe zako tena waliostaafu kazi..ni aibu ni aibu kubwa. 20. Ni aibuu na fedheha kwenda na mke baa au sehemu za starehe kila siku ikija bili unapewa wewe nawe unampa mkeo alipe kazi kukuna tu kidevu na kwenye wallet umejaza business card na viwembe vya kugushi nyaraka mitaani
 
Ni aibu na fedheha kumrudia mwanamke aliye kuacha yeye mwenyewe kipindi kirefu na akaamua kukurudia yeye mwenyewe tena kwa masharti kutoka kwake.
Kuna mmoja alijichanganya zamani akataka kuleta huu mchezo na hadithi za utajiri. Mweh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni aibu na fedheha kumuoa mwanamke ambaye anamiliki uchumi wa familia hata watoto anasomesha yeye wewe unajivunia uume mkubwa au urefu wa kimo
Kwa hali ya sasa aisee mambo yamegeuka sana. Ni kuvumiliana tu. Nina rafiki yangu miaka hii miwili yaani jamaa kaadhirika sana baada ya kuachishwa kazi na biashara zake kugoma ila mkewe amekamata familia vizuri na wanaendelea vizuri. Inatokea !!!
 
Ninamaanisha kuwa maneno matamu.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu.Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka,Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza .
 
Back
Top Bottom