Hahahahaha hapo ndipo pabaya7. Usijihusishe na mambo ya mitandao (Kaa mbali na uzi wa likes)
Ni rahisi kuingia instagram, facebook na zingine, lakini wachunguzi wanasema kwamba ukizidisha kujihusisha na mitandao unaweza kuharibu afya yako ya akili. badala ya kutumia nusu saa kwenye mitandao, unaweza kufanya kitu kingine unachokipenda, au kusoma kitabu, kujifunza mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kujiboresha mwenyewe kuwa mwenye afya.
Cabra hataweza hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]10. Don’t gossip (Epuka Ubuyu na Ushilawadu)
Kuseng’enya, umbeya, itakusababishia maradhi ya misongo na kukosa furaha. mtu mmbeya hawezi kusaidia kitu. wakati mwingine jitenge na watu kama hawa, au unapoona kuna kutoelewana na wafanya kazi wenzako, jaribu kutulia kwanza , badilisha negative to positive. Sema kitu kizuri kuhusu mtu. ni vizuri. kwa sababu utajiwekea alama nzuri kwako.
Chukua matirio hayo[emoji23][emoji23][emoji23]yakusaidie kwenye revisheni[emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa, leo ni siku ya mahaba nigaragaze? Naona wamwaga mapweinti tu ya mahaba niue! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ngumu