Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mfano ni faida zipi utapata endapo utaitumia dawa?, ni hasara zipi utapata endapo utaamua kutokutumia dawa?. Baada ya kujiridhisha katika majibu ya baadhi ya maswali kama hayo, ndipo inafika tamati kwamba utumie au usitumie dawa. Pamoja na kujiridhisha katika majibu ya maswali hayo, bado kuna haja ya kufahamu kuwa dawa itatumika tu endapo mtumiaji kulingana na hitaji lake kiafya atatakiwa kutumia ili atatue moja ya mambo yafuatayo ikiwemo,