Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo sasa. Kuna thredi huko nimeona binti anamlalamikia jamaa alimdanganya eti anafanya kazi shirika la Reli siku moja kazuka hoteli moja nzuri ya kitalii akamkuta jamaa kumbe ni mhudumu pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muhudumu ongeza glasi
 
Uongo mzuri uwe umechanganyika na ukweli me mwenyewe nauita "half truth"[emoji23][emoji23][emoji23]huu hukamatwi na ukikamatwa unasema sijadanganya nilosema ukweli nusu dadeq[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaha hapo sawa.
Carba umeona ubuyu wa dogo janja kumuoa uwoya. Ati ndoa ilikua jana ila picha wameficha
 
Back
Top Bottom