Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahhaa kuna uongo flan mtamu sio uongo usio na mpangilioWeee!si uongo wote jamani khaah![emoji23][emoji23]
Hahahhaa kuna uongo flan mtamu sio uongo usio na mpangilioWeee!si uongo wote jamani khaah![emoji23][emoji23]
Hakika unemeongeaNi aibu na fedheha kupewa zawadi ya kiwanja na wakwe zako siku ya send off.
Mia miaNi aibu na fedheha kujenga kwenye kiwanja cha mkeo wakati wewe hujawahi kumiliki kiwanja
Safi kabisaNi aibu na fedheha kulelewa mtoto wako na baba wa kambo wakati wewe upo unaishi na unajiita kidume 12. Ni aibu na fedheha kukaa kwenye nyumba yenye fenicha zoote kanunua mkeo 13. Ni aibu na fedheha kusimamia ujenzi wa nyumba ya mkeo wakati wewe huchangii hata shilingi mia 14. Ni aibu na fedheha kulea mtoto ambaye sio wa kwako kwa kisingizio cha kitanda hakizai haramu wakati mkeo anajua mtoto yule sio wa kwako. 15. Ni aibu na fedheha kulala kimapenzi na mwanamke ambaye anajua kuwa wewe unajua na unaushahidi wa michepuko yake 16. Ni aibu na fedheha kumbembeleza mwanamke anayejua kuwa anakukosea kwa makusudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]aibu na fedheha kumaliza makanisa ukiwahadithia wachungaji tabia mbaya na usaliti wa mkeo/mmeo 18. Ni aibu na fedheha mkeo/mmeo kukunyima unyumba ukaenda kumshitaki kwa wazazi wake wakati unajua cha kufanya 19. Ni aibu na fedheha kila mara kukopakopa kwa wakwe zako tena waliostaafu kazi..ni aibu ni aibu kubwa. 20. Ni aibuu na fedheha kwenda na mke baa au sehemu za starehe kila siku ikija bili unapewa wewe nawe unampa mkeo alipe kazi kukuna tu kidevu na kwenye wallet umejaza business card na viwembe vya kugushi nyaraka mitaani
ahahaahaa umeona ee city kufungwa na arsenal.ndotoArsenal amfunge man city dah nitaogelea kutoka mwanza mpka ukerewe
Hii nzuri1.Macho yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama.
Pale jamatin wanauza ubuyu mwingi bei chee ila aah hauna ladha kama ule wa zenjiMnapenda ubuyu nyie mje Dodoma kila Kona ubuyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tehetehehe wacha nipate japo toti moja vat 69 umenifurahisha kweli4.Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]8.Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti.
AminaTumuombe Mungu atupe afya