Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

New Era in weaponry. Kombora la masafa marefu kutoka Tukuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
4acb0064e8c9f6951343612462f9e8a3.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanawake majasiri sana, utakuta siku nyingine kanazuia mlangoni eti" hakuna kwenda kuangalia mpira leo!" Alaf kanatoka huku kanapiga mkwara, "ole wako nikuone unatoka, utanitambua leo!" Ukimuangalia sasa mtu mwenyewe "kimbaumbau!" Hongereni aisee!
Wana spesho power mkuu
Ukileta za kuleta utakumbatia ngumi usiku
 
Back
Top Bottom