Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Vimbaumbau njooni mnasemwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake majasiri sana, utakuta siku nyingine kanazuia mlangoni eti" hakuna kwenda kuangalia mpira leo!" Alaf kanatoka huku kanapiga mkwara, "ole wako nikuone unatoka, utanitambua leo!" Ukimuangalia sasa mtu mwenyewe "kimbaumbau!" Hongereni aisee!
Mzee Mengi. Pesa ndiyo ni mfalme lakini hakuna hasara pia ukiwa smooooooooth....C
Cheki boss wa itv alivyojifaidia mrembo kilaini ulimbo pesa
Hahahaa kubali tu labda anakwambia kakununulia zawadi ili kuipata mtumie nauli akuleteee
Ina maana mabinti wote wa uzi huu ni vimbaumbau? Hakuna kibonge hata mmoja jamani? Tunajua ukimbaumbau ndo urembo na pengine afya nzuri lakini doh! Carba, Numbisa, Nsamaka, Jakitoo...wote vimbaumbau. Beef na Consuela hali ikoje?Bana bana umeniharibia usingizi hahahahahahahaa eti kimbaumbau
Huyu jamaa anakoelekea mhh. Halafu ni bilionea sasa....
Atapata adhabu kidogo. Angekuwa mwanaume miaka 25+ ingemhusu...