Nondo za kianafunzi hizi. Nasubiri za kihenga henga mimi.....Hahahaa nawafundisha kuandika sms nzuri za malavidav msipate mtoso kizembe
Hahahaa kubali tu labda anakwambia kakununulia zawadi ili kuipata mtumie nauli akuleteeeHahaa... Ninamwandikia hivyo anakujibu vizuri halafu anamalizia na, baby nikuambie kitu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
mmmh wahenga wanavuta kwa pesa sio manenoNondo za kianafunzi hizi. Nasubiri za kihenga henga mimi.....
Hizi ukimwambia singo maza hizi au ye yote aliye 30+ utaishia kutolewa mkuku tu.
Cheki boss wa itv alivyojifaidia mrembo kilaini ulimbo pesaNondo za kianafunzi hizi. Nasubiri za kihenga henga mimi.....
Hizi ukimwambia singo maza hizi au ye yote aliye 30+ utaishia kutolewa mkuku tu.
Bana bana umeniharibia usingizi hahahahahahahaa eti kimbaumbauWanawake majasiri sana, utakuta siku nyingine kanazuia mlangoni eti" hakuna kwenda kuangalia mpira leo!" Alaf kanatoka huku kanapiga mkwara, "ole wako nikuone unatoka, utanitambua leo!" Ukimuangalia sasa mtu mwenyewe "kimbaumbau!" Hongereni aisee!
Baby nikuambie kitu - the most terrifying words from a Tanzanian lady. Ukisikia haya maneno unashauriwa kuzima simu immediately ikibidi na betri toa kabisa unless kama una 200K+ za wigi la Kibrazil...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa... Ninamwandikia hivyo anakujibu vizuri halafu anamalizia na, baby nikuambie kitu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Na maneno bado yanasaidia....Kumwaga pesa tu wakati mwingine napo ni shida hasa kama ....mmmh wahenga wanavuta kwa pesa sio maneno
Baby nikuambie kitu - the most terrifying words from a Tanzanian lady. Ukisikia haya maneno unashauriwa kuzima simu immediately ikibidi na betri toa kabisa unless kama una 200K+ za wigi la Kibrazil...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]