Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sweet dreams
Lured my foot! Tena mara 2? Miaka 17 jibaba zima kabisa limekwenda linajua kuwa linakwenda kumgegeda ticha leo eti linajifanya liliwekewa chambo. Come on man !!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Mkuu acha uchocheza, hawakawii kuja wakiwa wamejiandaa na skin tight zao![emoji23] [emoji23]Vimbaumbau njooni mnasemwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila majeshi ya kukodi yanahusika kwenye vita!Mzee Mengi. Pesa ndiyo ni mfalme lakini hakuna hasara pia ukiwa smooooooooth....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utarudi tu huo usingizi. Nilishawahi kumiliki kimbaumbau, ndio maana nna uzoefu nao. Nilikuwa naogopa kusafiri nae kwenye daladala! Konda akisema "sina mia bro!" Huwa napotezea, ila nikiwa nae, lazima aliamshe dude kwa konda![emoji109] [emoji109] [emoji28] [emoji28]Bana bana umeniharibia usingizi hahahahahahahaa eti kimbaumbau
Usalama upo Kiongozi.Niaje mkuu
MASE mkali.Nakikumbuka sana mkuu
Maze namkubali sana