Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MASE mjanja yale mambo ya BEEF ya EAST na WEST yalivyopamba moto kufikia mpaka Pac kupoteza Maisha, hali kadhalika na Biggie nae kupoteza Maisha.

Akaona hapa Usalama wangu ni mdogo sana, akaamua apumzike masuala ya Muziki kwa Gia ya kuwa Ameokoka.

MASE aliokoka.

Kisha akarudi tena kwenye Gemu na Kibao chake cha kuitwa WELCOME BACK.

Shuka chini
Jamaa mjanja sana
 
Kiongozi.

Kwa mara nyingine narudia tena.

Ugomvi wa Biggie na Tupac ni baada ya Tupac kushambuliwa kwa Risasi akiwa Studio.

Mbaya zaidi siku ya tukio, BIGGIE na DIDDY walikuwepo humo humo Studio.

Kitu kilichomfanya Tupac adhanie ya kuwa BIGGIE, DIDDY na Kikosi kizima cha Bad Boy kilipanga njama za kumuua yeye Tupac.

Na mbaya zaidi baada ya shambulio la Tupac, Biggie akatoka na Kibao cha kuitwa Who shot ya? ambacho nimeshakiweka hapo juu.

Kwahiyo chanzo ni baada ya Tupac kushambuliwa Studio na kisha Biggie kuja na Kibao hiki Who shot ya?

Ndicho kilichomfanya Tupac ajibu mashambulizi kupitia Kibao chake cha kuitwa Hit them up
OK mkuu nimekupata
 
8055249773b923add46bde9b0863db3c.jpg
 
Back
Top Bottom