Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dad+3+20170720_184844.jpg
 
595. How landmines work?

These mines continue to be functional for many decades, causing further damage, injury and death. Landminesare basically explosive devices that are designed to blow when triggered by pressure or a tripwire. These devices are typically found on or just below the surface of the ground.
 
594. What's Google Lens?

Google Lens is a feature announced by Google during Google I/O 2017. It is designed for bringing up relevant information based on what your camera sees. For example, if you point your camera to a Wi-Fi sticker, the app will automatically connect to the Wi-Fi source that has been scanned. It is integrated with the Google Photos and Google Assistant apps.
 
592. What's Turing Award?

The ACM (Association for Comouting Machinery) Turing Award, often referred to as the “Nobel Prize of Computing,” carries a $1 million prize, with financial support provided by Google, Inc. It is named for Alan M. Turing, the British mathematician who articulated the mathematical foundation and limits of computing.
 
UTI(Urinary tract infections) ni uambukizi wa njia ya mkojo ambao huwasumbua watu wengi siku hizi. Uambukizi huu unaweza kusababisha maumivu na kukosa raha, na ugonjwa waweza kudumu kwa siku chache kama utawahi kutibiwa kwa kutumia dawa za antibiotiki.Kuna uwezekano pia wa kuchukua hatua kuhakikisha unaepukana na maambukizi haya ya njia ya mkojo.
 
UTI ni ugonjwa ambao huwaathiri zaidi wanawake ukilinganisha na wanaume, na sababu kubwa ikiwa ni ya kimaumbile, ingawa kuna sababu nyingine kama kufanya ngono na historia ya kifamilia.

Watoto pia waweza kuathirika na ugonjwa huu wa UTI, husani watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka miwili na watoto wa kiume wasiotahiriwa. Dalili kuu kwa watoto wenye ugonjwa huu ni homa, ingawa vipimo huhitajika ili kuhakikisha uwepo wa ugonjwa. Wazee nao pia huweza kuathirika na
ugonjwa huu.
 
Mfumo wa mkojo ni ule ambao miili yetu hutengeneza na hata kuutoa mkojo nje ya mwili. Na unahusisha sehemu kuu nne:-
Figo(Kidney), ambazo ni ogani zilizo na umbo la haragwe na zinakuwa mbili, na ukubwa wake ni kadirio la unavyokunja ngumi yako. Kazi ya figo ni kuchuja damu na matokeo yake ni mkojo unaotengenezwa na hutolewa kama uchafu mwilini.
Mirija ya kutoka figo kwenda kwenye kibofu( ureters), huwa ni miwili na hupeleka mkojo kwenda kwenye kibofu.
 
UTI husababishwa kwa kiasi kikubwa na bakteria ambao huingia katika mrija wa kutoa mkojo kutoka katika kibofu. Asilimia kubwa ya ugonjwa huu katika jamii husababishwa na bakteria ajulikanaye kama Escherichia coli(E Coli), Pia asilimia ndogo yaweza kusababishwa na aina nyingine ya bakteria ajulikanaye kama Staphylococcus saprophyticus.Lakini pia kwa uchache sana ugonjwa waweza kusababishwa na fangasi au virusi.
 
Back
Top Bottom