Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7e73d4feff94bbc7ace2c766d3b1da2c.jpg
 
Upungufu wa nguvu za kiume ni ugonjwa ambao mwanaume hushindwa kusimamisha uume na pia kushindwa kuendelea kubaki imara wakati wa tendo la ndoa. Uume kusimama hutokea pale damu inapoingia katika tishu zilizo kama sponji na kuendelea kubaki ndani yake wakati wa tendo la ndoa.Hii hutokea kama matokeo ya mhemko kabla ya tendo la ndoa, ambapo taarifa hupelekwa kwenye ubongo na hatimaye taarifa hutumwa katika mishipa fahamu iliyo katika
uume.
 
Sababu zinazosabisha tatizo hili zaweza kugawanywa kama ifuatavyo:-

a) Hitilafu katika ogani za mwili (Organic causes)
Hitilafu hizi ambazo zinatambulika zaidi ni kama magonjwa ya moyo na kisukari,upungufu wa homoni mwilini (kitaalam kama hypogonadism) ,maudhi yasiyotakiwa ya dawa mbalimbali(side effects), pia magonjwa ya mishipa ya fahamu yanayoweza kusababishwa na kuumia au kufanyiwa operesheni ya tezi dume.
 
Back
Top Bottom