Morning Mwifwa....Umeamkaje?Morning jakitoo
Ashukuriwe muumba wa Mbingu na NchiMorning Mwifwa....Umeamkaje?
Na makucha yakeMorning, Mwifwa! Kumekucha!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ashukuriwe muumba wa Mbingu na Nchi
Ukweli mtupu.Amani ya Kenya ina maana kubwa kwa mataifa jirani
Amin, lakini ndiyo hivyo tena mtoto amepatikana lakini haikuwa rizki. Umeamkaje Jirani yangu mpenzi, nakuwaza sana sijui kwa niniMungu ibariki simba
Acha kumhamu bado asubuhi sanaAmin, lakini ndiyo hivyo tena mtoto amepatikana lakini haikuwa rizki. Umeamkaje Jirani yangu mpenzi, nakuwaza sana sijui kwa nini
Looo!!!? Kumbe weye ni YEBOZ.Aibariki kwa goli kama 5 hivi,yaani kifupi mfungwe
Morning carbamazepineMaini siwezi kula sembuse hayo,kweli yataka moyo na mazoea[emoji15][emoji15]
Amini mawazo yako..[emoji16][emoji16][emoji16] ila talaka hapanaSasa nimwamini nani?[emoji15][emoji15]
SEMA UKWELI USIKIKE, SIYO UNATOA TALAKA LEO, KESHO UNA JARIBU KUFANYA FUMANIZI, ohoooo![emoji3] [emoji3] [emoji3] nsamaka, nsamaka,nsamaka. uko wapi asubuhi hii tuanze mipangoNamshukuru Mungu kwa kuvunjika ndoa yangu,usimba siupendi ujue...
Ukishakabidhiwa ushetu nijurshe.Tangu lini, hiyo talaka uliiandikia wapi? Na hiyo yangu na mough ulifungisha ww?
Ulinitoa kwetu, km umeniacha nirudishe kwetu koromije ukanikabidhi kwa wazazi wangu.
Enheeee..Kumbe tupo wawili[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Siyo apambane na moud, mwambie "azidishe mapenzi na moud"Acha wivu kwa mtalaka wako wewe bibi,pambana na moud sass hivi[emoji23][emoji23]