carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nitakuja na orodha kule kijiweni kwetu baadaeNaomba unisaidie kuorodhesha team mapupu
Nitakuja na orodha kule kijiweni kwetu baadaeNaomba unisaidie kuorodhesha team mapupu
Ni kweli hayana radha,ila ukiyazoea unapata radha na hauwezi kuyaacha.Nasikia hayana radha kabisa,sijui mnawezaje kula vitu hivyo kwakweli
NamshangaaaKwahiyo wataka kusema kwamba wewe ni..........
Shkamo shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naangaliaga mguu utakanyaga wapi,mengine hata sina habari nayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baba na mwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nashukuru kwa hilo
NamshangaaaKwahiyo wataka kusema kwamba wewe ni..........
Usijali.Nitakuja na orodha kule kijiweni kwetu baadae
Jidanganye tu, mwenye nyumba nimerudi rasmi wapangaji waanze kufungasha.Namshukuru Mungu kwamba siku zinaenda,ndivyo ilivyo pangwa.
Jana sikukutafuta baada ya kuona haupo vizuri...
Nimerudi na maparachichi nimeuza,matumizi ni huru maana hesabu hazikaguliwi na CAG[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aitchaaaaaa!!!! Haya mafua yatanitesa sana mwaka huuMweh, eti shemeji mpenzi mh mh, koh koh
Maini siwezi kula sembuse hayo,kweli yataka moyo na mazoea[emoji15][emoji15]Ni kweli hayana radha,ila ukiyazoea unapata radha na hauwezi kuyaacha.
Unachoshangaa ni nini sasa?Namshangaaa
Yule siwezi msahau kabisaUsijali.
Usimsahau M/kiti wetu cuzoo
Wamaanisha sasa hivi eti? Nipo Buguruni ujue...Njooo
Kwhy wote mnaumwa[emoji15]Kama ni hivyo tumshukuru Mungu
Siko vizuri kiivyo ila Mungu ananifanyia wepesi
Hahaa watoka sokoni ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamaanisha sasa hivi eti? Nipo Buguruni ujue...
Etix bibi wewe mwenye nyumba ndio nsharudi rasmi. Hakuna cha fursa wala nini.Fusra hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hujui ama[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tia[emoji109]Yule siwezi msahau kabisa
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mapupu...Nimejikuta napakumbuka Nonde kilabuni
Wote na nani?[emoji23][emoji23][emoji23]Kwhy wote mnaumwa[emoji15]
Weeee...weeee... Nasema hivi,sirudi tena hukoTangu lini, hiyo talaka uliiandikia wapi? Na hiyo yangu na mough ulifungisha ww?
Ulinitoa kwetu, km umeniacha nirudishe kwetu koromije ukanikabidhi kwa wazazi wangu.