Amu wochingi yuuu, nou zat!Halafu sikuelewagi ujue? Au nikuje ili unielekeze
Amu wochingi yuuu, nou zat!Halafu sikuelewagi ujue? Au nikuje ili unielekeze
Hahahahaha yaani unajiibia mwenyewe tu raha sana kujiajiri raha sanaNamshukuru Mungu kwamba siku zinaenda,ndivyo ilivyo pangwa.
Jana sikukutafuta baada ya kuona haupo vizuri...
Nimerudi na maparachichi nimeuza,matumizi ni huru maana hesabu hazikaguliwi na CAG[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba hajambo au mlishaachana?Nashukuru kwa hilo
Moud kashapeleka mahari kwenu shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]Etix bibi wewe mwenye nyumba ndio nsharudi rasmi. Hakuna cha fursa wala nini.
Hizo yeboyebo hapana kbs.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio Yanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa kaua kabisa
Jidanganye tuuuuHahaa jipe moyo
Wala usijali,nitaongea na bwana mdogo akuache tu tena kwa amani.Najua unaweza kubaki kwenye ukoo wetu,si ndio mama?Karibu mana na mimi nakaribia kuachika[emoji23][emoji23][emoji23]japo mashemeji mnabania talaka
Eti imevunjika, jidanganye tu na talaka fake. Hakuna ndoa iliyovunjika hapa.Namshukuru Mungu kwa kuvunjika ndoa yangu,usimba siupendi ujue...
Woyoooooo[emoji23][emoji23][emoji23]Weeee...weeee... Nasema hivi,sirudi tena huko
Shares za BenzYourdad ni kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]hataki maskhara kabisa
[emoji109][emoji109][emoji109]Tia[emoji109]
Hiyo talaka ww ndio uliandika?Acha wivu kwa mtalaka wako wewe bibi,pambana na moud sass hivi[emoji23][emoji23]
We mama wewe khaaa![emoji15][emoji15][emoji15]Carba hajambo au mlishaachana?
Hahahah ole wako uachike sasa, ukiachika ujue na pa kwenda.Karibu mana na mimi nakaribia kuachika[emoji23][emoji23][emoji23]japo mashemeji mnabania talaka
Kaka hana taarifa hiiCc:SHIMBA YA BUYENZE
Amka shemeji kipenzi kumekucha huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala usijali,nitaongea na bwana mdogo akuache tu tena kwa amani.Najua unaweza kubaki kwenye ukoo wetu,si ndio mama?
Acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Shares za Benz
Google owner
Prezidaa kwa six years [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi nashangaa ujue!!!Namshangaaa
Jibu swali hapo, mambo ya mafua weka kandoAitchaaaaaa!!!! Haya mafua yatanitesa sana mwaka huu