carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Si mlikuwa najishaua mbele ya kaka yako hapa anawaona[emoji23][emoji23][emoji23]Mahari inaenda bila muolewaji kujua?
Eti leo huna taarifa
Si mlikuwa najishaua mbele ya kaka yako hapa anawaona[emoji23][emoji23][emoji23]Mahari inaenda bila muolewaji kujua?
Na kwako pia jiraniMchana mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpka basiAcha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wamevurugwa
TumeachanaaaaJidanganye tu, mwenye nyumba nimerudi rasmi wapangaji waanze kufungasha.
Mambo mpenziUshanianza[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Likes za mchana huuLikes
Na kwako piaMchana mwema
Enzi ya dhahabu..Tulizaliwa wote kijiji kimoja lakini nilishindwa kukuoa kwa sababu una tabia nzuri heee[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji445]
Hata sijui ana shangaa nini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unachoshangaa ni nini sasa?
Hata wewe binti mpole unaongopaga kweli. Maajabu hayaKabisa
Kuna sehemu hapa Dodoma area c yaani full firigisi za aina zote ,mipiko yote jinsi utakavyotaka ndio unavyopikiwaMaini sili kabisa hata yapikwe vipi
Firigisi nakula tena napenda hasaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa watoka sokoni ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]