Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wa kwanza si wewe,halafu ole wako ukimbie humu
70f3abcdf562cbdf97d376553c8ac6db.jpg
mi wa huku kule nilikuwa nawapa support maana tunaubia mkubwa na Man u
 
Mbonq we huna hata moja pimbi wangu[emoji6] [emoji6]
Hii ni pastpepa ya nondo za dr.Numbisa za jana usiku
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ukipata mwanamke mwenye sifa hizi 16 usimwache
Muungwana Blog

Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli

1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu
 
Back
Top Bottom