moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wiki ya talaka hii, TALAKA oyeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karibu mana na mimi nakaribia kuachika[emoji23][emoji23][emoji23]japo mashemeji mnabania talaka
Wiki ya talaka hii, TALAKA oyeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karibu mana na mimi nakaribia kuachika[emoji23][emoji23][emoji23]japo mashemeji mnabania talaka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dooohh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] SIWEZI.
Hiyo TALAKA ya nsamaka ifikishwe haraka kwa SYBCc:SHIMBA YA BUYENZE
Amka shemeji kipenzi kumekucha huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nini kuvunjiana viti!!Ooh, boy! [emoji23][emoji23]
Nawe acha tabia ya kumng'ang'ania Andjul, khaaaa!Jidanganye tu, mwenye nyumba nimerudi rasmi wapangaji waanze kufungasha.
Tena kuoa aliekwisha olewa..mfalme Mswati ni wa kuigwa..' kigori...Hapana, jakitoo hapo kwako amefika. Ila wewe unataka kumzingua na ndoa za mitala. Tuliza boli mkuu, hayo mambo ya akina King Suleimani yameshapitwa na wakati!
Makofi kwako[emoji120] [emoji120] [emoji120]Hizo yeboyebo hapana kbs.
Unataka kuchukua urithi wa mke wakati mwenye mke mdogo wako yuko hai!!? Mizimu ya Rungwe, Tukuyu, Kyela haitakuacha salamaWala usijali,nitaongea na bwana mdogo akuache tu tena kwa amani.Najua unaweza kubaki kwenye ukoo wetu,si ndio mama?