Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Pokea likes mkuu uzi makini kwa watu makiniHumu nimemwaga likes mia kwa leo. Na nyie leteni!
Pokea likes mkuu uzi makini kwa watu makiniHumu nimemwaga likes mia kwa leo. Na nyie leteni!
Wacha kabisaDah. Nakuambia. Uzi unakimbia kama Makreti ya Bia.
Well said broNaomba kuwakumbusha tena. Lengo kuu siyo kukimbiza uzi. Lengo ni likes. Huku nyuma 6 minutes ago kuna posts hazina likes hata moja na niko peke yangu. Vidole vinaniuma jama. TOENI likes na kupokes likes. Nawakumbusha tu
Hhaahahh kiki katika ubora mchape like huko hukoSijaona like zako
TunasongaNi mwendo wa likes
Asante sana nitawaongoza vyemaKichwa kichafu hukongera kwa kufika Kibiti salama.
Natumai utawaongoza wanakijiji kwa haki bila upendeleo, dhuluma,rushwa nk.
Elewa hao watu hawataki utani!
AsanteWanauzi wote mnaalikwa siku ya j3 kwenye tafrija ya kuaga mwezi wa ramadhani na kupokea mwezi shawar.
Poa poa weka post uwezavyoJamani kwa Massa kadhaa sikuwemo humu, fanyeni kunipa like za kutosha angalau.
Nipe mikoba yote mkuuUsipozingatia haya Bwana Kichwa kichafu jf haitalaumiwa kwani tahadhari tumekupa.