Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uchumba kwenye jamii siku hizi ni mgumu, ni kama kutaka shamba la kumiliki mwenyewe. Mara mtu anapompata mtu wa kuwa naye anatamani adumu naye. Hata kama kwa kurekebishana ndani kwa ndani. Hata kama hakuna furaha ndani ya mahusiano hayo. Lakini anakuwa anajipa matuamini kuwa yatakuwa mazuri.
 
Kusema kweli hakuna mtu anayependa masikitiko .lakini kwa nini watu wanaamua kukaa katika mahusiano ambayo hawana furaha wala upendo?

Fikiria maisha kabla ya kuingia katika mahusiano hayo , ulikuwa na furaha, ulikuwa huru, ulikuwa na amani, ulifanya kitu ulichokitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…