Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-28-16-27-09.png
 
Wanaweza kuanza kusema wanaishi kwa sababu ya msingi. Huenda wana watoto, au wameshirikishana kumbukumbu nyingi, wamekuwa pamoja kwa miaka mingi na wamewekeza mambo mengi ndani ya box lao.Hawataki kupoteza chochote walichokitengeneza.
 
Wanaweza kuwa wanafikiri bado wanaweza kuyaweka sawa mahusiano yao. Wanatazama kila kitu ndani ya box na kuona kama kuna maendeleo na kutaka kuweka vizuri mambo yao. wanaamini kwamba Upendo ni mgumu na inahitaji nguvu kuutunza.Au wanaweza kufikiri kuwa hawajajaribu kufix baadhi ya mambo.
 
Tatizo la Box

Tatizo la box ni kwamba linafunga watu kutoka kuwa na ufahamu wa kilichotokea ndani na nje ya mahusiano yao.

Ingawa sababu kubwa inakuwa ni watoto au mali mliochuma pamoja, Watu wanahitaji kujua kwa undani kabisa sababu ya kuwafanya watake kukaa katika mahusiano.
 
Nimeunguza kidogo lakini halijaharibika neno. Hot barbecue wings. Tayari kuangalia football. Jakitoo sogea karibu nikulishe binti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tunasukumizia na mvinyo mwekundu. Na salad. Huku muziki mwororo laini ukitusindikiza. Jioni yetu !!!
25278e538096dfcf13ccbd96a6438063.jpg

Mkuu, si ungetoa order tu kwa Buffalo Wild Wings wakakutengenezea? [emoji1][emoji1]
 
Nimeunguza kidogo lakini halijaharibika neno. Hot barbecue wings. Tayari kuangalia football. Jakitoo sogea karibu nikulishe binti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tunasukumizia na mvinyo mwekundu. Na salad. Huku muziki mwororo laini ukitusindikiza. Jioni yetu !!!
25278e538096dfcf13ccbd96a6438063.jpg
Tutazimodifai kidogo bebi[emoji39] nakuja chaaapp[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom