Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-29-23-07-05.png
 
Hahahaha
Haki ya Mwenye Enzi Mungu
Pesa tamu ndugu yangu
Maana ilibidi ninyanyue jamvi tu!
Kipindi cha mavuno hichi my dear!
Mamboz brother? Hope all is well
Nimefurahi unaposema pesa tatu sidhani kama nitatoka mtu hapo my sister.

Sisi tupo vyema ila kupotea kwako bila taarifa ndio ilikuwa huzuni kwangu
 
Back
Top Bottom