Trick or treat
Mambo mapyaSiku mpya...
Duh jamani
HahahahaAngalie usije ukaweka na pumpkin za kweli kweli ohooo...!!!
Uwiii kazi kweli kweliWengi hawakuachi na A,
Wanakuacha na Aids.
Mzimu wake umeamka walahi
Aaaaaaaaaaaaaarhg !!!Unamwita darling na wife mama wa mapito,
unapata habari kwa wanafki kuna walafi wanamla hadi jicho!
Vumilia Mkuu, ndio si lelemama!Aaaaaaaaaaaaaarhg !!!
Well saidMjanja hawezi kuingia dukani kununua viatu akiwa peku.
Wengi wanajua mapenzi lakini wachache wanayainjoi.