Morogoro store bado ipo, lakini imekuwa ni kituo cha kuuzia mafuta ya murzah oil, ambayo nayo ilikuwa ni mali Gulamali, lakini kwa sasa ameuziwa kibopa mwingine wa kitumbini Haruni ZakariaNa kwa mbele kidogo kulikuwa na ofisi za yule alikuwa kibopa wa Yanga, Abbas Gulamali; bado zipo?
Yuplikes zaasubuhi
AMUN RAbaraka ziwe kwetu
Kabisalikes zimwagweee..