carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waweza komiti suisaidiMinyororo ya kisaikolojia ni hatari zaidi kuliko minyororo isiyoonekana !!!
![]()
Pole Numbisa,Mungu awe faraja yakoNdio shimba life hii halafu ni mbali. Wawakilishi wanaenda wachache
Amen
Pole sana. Nimeona tangu asubuhi. You are grief stricken. Ni kawaida. Ndiyo ubinadamu. Usizizime hisia hizo. Ziache zichanuze. Hata kama ni kulia lia. Usiwe peke yako. Ongea na watu. Familia. Marafiki. Utumie muda huu kuwa karibu na Mungu wako na kutafakari. Sali. Mshukuru Mungu kwa yote. Mshukuru Mungu kwa kumruhusu Marehemu kuwa nanyi mpaka wakati huu. Mkabidhi Marehemu kwake. Mwombe Mungu Ampokee; na usiruhusu sense of guilty ikujie kwa namna yo yote ile. Na pole pole ahueni na amani itakujia tena. Tumwombee Aliyetangulia apumzike kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ndio shimba life hii halafu ni mbali. Wawakilishi wanaenda wachache
Amen
Teki mii withi yuuuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
You attract what you give out. Hakuna kurogwa wala nini. Ni kanuni ya jumla inayotawala ulimwengu. It all starts with us.Jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weweeeeee !!!Teki mii withi yuuuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unamuogopa KK anayeomba ban?Weweeeeee !!!
KK nitambebea mbeleko gani? Pimbi wako si ataniua? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Amen shimba. Una maneno ya faraja mno ubarikiwe sana. Najitahidi.Pole sana. Nimeona tangu asubuhi. You are grief stricken. Ni kawaida. Ndiyo ubinadamu. Usizizime hisia hizo. Ziache zichanuze. Hata kama ni kulia lia. Usiwe peke yako. Ongea na watu. Familia. Marafiki. Utumie muda huu kuwa karibu na Mungu wako na kutafakari. Sali. Mshukuru Mungu kwa yote. Mshukuru Mungu kwa kumruhusu Marehemu kuwa nanyi mpaka wakati huu. Mkabidhi Marehemu kwake. Mwombe Mungu Ampokee; na usiruhusu sense of guilty ikujie kwa namna yo yote ile. Na pole pole ahueni na amani itakujia tena. Tumwombee Aliyetangulia apumzike kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kisa fate imekupeleka kumpenda sana mtu ambaye ana mtu tayari. Ni shida !!!Waweza komiti suisaidi
[emoji16][emoji16]Unamuogopa KK anayeomba ban?
Ndiyo. Namwogopa. Nadhani ndiye [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Unamuogopa KK anayeomba ban?