Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio shimba life hii halafu ni mbali. Wawakilishi wanaenda wachache

Amen
Pole sana. Nimeona tangu asubuhi. You are grief stricken. Ni kawaida. Ndiyo ubinadamu. Usizizime hisia hizo. Ziache zichanuze. Hata kama ni kulia lia. Usiwe peke yako. Ongea na watu. Familia. Marafiki. Utumie muda huu kuwa karibu na Mungu wako na kutafakari. Sali. Mshukuru Mungu kwa yote. Mshukuru Mungu kwa kumruhusu Marehemu kuwa nanyi mpaka wakati huu. Mkabidhi Marehemu kwake. Mwombe Mungu Ampokee; na usiruhusu sense of guilty ikujie kwa namna yo yote ile. Na pole pole ahueni na amani itakujia tena. Tumwombee Aliyetangulia apumzike kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Teki mii withi yuuuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Weweeeeee !!!

KK nitambebea mbeleko gani? Pimbi wako si ataniua? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Amen shimba. Una maneno ya faraja mno ubarikiwe sana. Najitahidi.
 
Unamuogopa KK anayeomba ban?
Ndiyo. Namwogopa. Nadhani ndiye [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…