myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
he!Leo nipo jukwaa la siasa. Nahitaji mapovu zaidiakili ichangamke. Muwe na siku njema
Si mnasema "raha ya nyumba ni choo"?Shida yote hiyo ya nini sasa? [emoji1][emoji1]
Mbona unatabasam bibieSi mnasema "raha ya nyumba ni choo"?
Ndo anajenga choo sasa
Ninahuzuni sana leo acha tu[emoji17] [emoji17]Mbona unatabasam bibie
Nini tatizo tena maana umenifanya nami niwe na huzuni.Ninahuzuni sana leo acha tu[emoji17] [emoji17]