Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meneja wa Diamond... @sallam_sk awatolea mapovuu EATV & RADIO... Ni baada ya kutilia mashaka nomination za msanii Rayvan katika Tuzo za BET AWARDS 2017 kwa madai huenda ni Janja Janja ...Lakini za kunyapia nyapia Kituo Hiki Kimekua Jipuuu Nchini kwa kutopiga Ngoma yeyote iliyofanywa chini ya WCB...Takribani Mwaka sasa hakuna nyimbo yeyote imepigwa katika station hii.... JE UNAHISI NI KWANINI????... JE NI MAAGIZO KUTOKA KWA MABOSS WAO??? CHUKI ZA WAFANYAKAZI WACHINI ???AU TATIZO NI WCB???? . .
19379795_481804525544900_5064602397238624256_n.jpg
 
Back
Top Bottom