Polee bebi ngoja nikuje [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kijana wako nipo. Ni kale "kaugonjwa" tu hakajaniacha [emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jirani inaonekana uzalendo umemshinda !!!
likes kwa likesKomenti chochote upate likes za kutosha.
nakuona...Wapi myoyambendi
Pambana na hali yako mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 621911
Siku hii nchi ikipata Rais wa wanyonge huyu malaika ataishi kama shetani