Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haijapungua...Spidi ya likes imepungua ndio maana.
tutapeleka wenyewe mbeleeHaijapungua...
Imekwisha. Naona wadau wamechoka...
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake ati !!!
Wamechoka sana[emoji3]Haijapungua...
Imekwisha. Naona wadau wamechoka...
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake ati !!!
Mkuu leo mbona mapema kabla hata watoto hawajalala?
eeee.....mkuu habari za jioni
Yes ni DubaiDubai?
Nilikuwa peke yangu hapa so nikawa nimeboreka. Na hao watoto kuna cha ajabu gani hapa ambacho hawatakiwi kukiona?Mkuu leo mbona mapema kabla hata watoto hawajalala?
Nilikuwa peke yangu hapa so nikawa nimeboreka. Na hao watoto kuna cha ajabu gani hapa ambacho hawatakiwi kukiona?