carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji122]
[emoji122]
Nipo kipenzi,Ewaaaalaaaaa 12hrs no see u mama.
Pole kwa uchovu
Naiomba niiweke avatar
Naelewa mama hata huu mwandiko nao umebadilika kwa uchovu.Nipo kipenzi,
Asante sana mana hapa nilipochoka mbaya
Tupo ambao ni combination ya hivyo vyote mjue[emoji23] [emoji23]5 ways for man to be completely happy.
1. Be with a woman who makes you laugh
2. Be with a woman who gives you her time
3. Be with a woman who takes care of you
4. Be with a woman who really loves you
5. Finally, make sure these four women don’t know each other!
[emoji125][emoji125]
Sante sanaNaelewa mama hata huu mwandiko nao umebadilika kwa uchovu.
Karibu karibu karibu tena na tena kipenzi
Pole siku nyingine bora uwe kauzu tuunaijua ile medhari kukopa harusi kulipa matanga
kuna dada kaja analia anataka mkopo wa mwezi kurudisha nkampatia leo mwezi wa sita kila akipata mshahara anatoa matatizo mengi wkati mimi sio shida yangu
kwanini watu wanashindwa kuwa binaadamu ? sielewi kabisa . ukikataa kukopesha wewe mbaya unalinga
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]"Hakika Mungu yu pamoja na wenye kusubiri"
[emoji122][emoji122] [emoji122] [emoji124] [emoji124] [emoji124]