myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani na upendo
Kwema shemeji kipenzi?Tupo ambao ni combination ya hivyo vyote mjue[emoji23] [emoji23]
Kati ya vitu ambavyo sitaki kuvichezea ni umeme. Acha tu niitwe mshamba kwa kweli.....View attachment 622042
Vitu vingine huhitaji fundi, unatwanga mwenyewe! Kule kwa wenzetu mpaka mtu aje amwite fundi, basi hiyo kazi itakuwa imeshindikana!
It is the same person na unayemtumia sasa...Nilishakuambia kuwa utamaliza mabucha yooote ya avatar lakini hutakaa upate avatar ya kuizidi hii [emoji116][emoji116][emoji116]Naiomba niiweke avatar
Kwema Kipenzi shemeji,sijui hukoKwema shemeji kipenzi?