George Kalambo bado yupo pale Libya street, karibu na Jambo INNMi simo, ooh! [emoji1][emoji1] Unamjua yule mjumbe wetu wa Mchafukoge alikuwa anaitwa Kalambo?
Amin, na kwako pia mkuuNawasalimu kwa jina la bwana wapendwa Wana JF.. Natumai tu wazima napenda niwatakie asubuhi njema na kazi njema mungu awatangulie katika mihangaiko yenu amen...
Good morning babeS, mzimaGoodmorning
George Kalambo bado yupo pale Libya street, karibu na Jambo INN
Mwanawe mmoja wa kike yule mkubwa amefarikiDuu, wewe kweli ulikuwa jirani kabisa, unamfahamu kumbe? [emoji23][emoji23][emoji23]