Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Hello pokea likeHello humu
Hello pokea likeHello humu
Akuje tu, napenda mkiwa pamoja, japo Cole Williams anaharibu locomotion yenu.Sijui anatufanyia disappearing act!
Pokea likes moyo sukuma damuAndika chochote ufurahishe moyo wako
[emoji4] [emoji3] [emoji3] usibanduke hapaNavizia jamani 50k
Pamoja..Haya malengo tayari yalipigwa muhuri 50k leo muhimu hata kwa goli la mkono
Kichwa kichafu nahisi ni mmoja wao mchoyo wa likesKuna ambao wanajiona wapo juu kama vile wakitoa like watafeli maisha
Eeeeh
HahhaahPm na kwangu
Mbele kwa mbele..Mwenge wa likes speed shaaaaa naukimbiza
Karibu mkuu, umebadilisha njiaNipo mkuu.Kula likes bila kinyongo.
[emoji1] [emoji1] watakuwa wanakusingizia mkuuKichwa kichafu nahisi ni mmoja wao mchoyo wa likes
Oooh hell no!! I am here to stay dude...Sijui anatufanyia disappearing act!
Kichwa kichafu nahisi ni mmoja wao mchoyo wa likes
Nakuelewa sana mkuu nimerudi nipo nafukia mashimoPoa nimekupata mkuu network shida sana Leo kwangu lakini napiga like