Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipengele vyote hivi vitaanza fanya kazi pale utapolipia dola $4.99(sawa na takribani Tsh. 8,500). Inasupport vitabu vilivyopo katika mifumo (extensions) ya pdf, epub, epub2 na epub3 lakini haina features nyingi kama ilivyo kwa Mantano Reader. Ni rahisi zaidi kuitumia na haihitaji muda mrefu kuweza kuizoea.
 
Asimuache akomae naye atapewa tunzo
Pumbavuuuuu![emoji57] [emoji57] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Inakupa urahisi wa kuingiza vitabu vyako kutoka katika kumbukumbu ya simu (phone storage) na kuingia katika maktaba kwa kubonyeza tu "import books". Haijalishi kitabu kitakuwa katika kabrasha (folder) lipi, UB Reader itatambua kitabu hicho na kukiweka katika maktaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…