Shemeji yangu huyu jakitoo"Mate" eeh
SYB kipenzi kuja huku[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hapa kwa sisi wa uswahilini kufikia hatua ya utekelezaji ni ngumu
Ulikuwa unasubiri Abeeeeeee ili ulegee? Umeambulia "Sema Yego!". Oh boy! This day is getting better and better [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️♂️[emoji124][emoji124]♂️
Jiamini Yego. Unamwita binti halafu unatoka mkuku maana yake nini? Tena Numbisa? Ukiamua kutest zali test zali kikweli kweli siyo kwa woga. You never know [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa..[emoji1][emoji1550][emoji1550]