Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Pilau nyama unazitafuta kwa tochNumbisa ni mtaalam wa upikaji pilau Makinikia
50k usiku huu lazima hata kwa goli la mkonoKabisaa wale wanaogombea kupost post ya 50k inabidi wakae chonjo...
Nzuri tu mwana likeZa jioni
Tunakujakwa tutokao kusini ya Tanzania, Karibu Mikindani
Haahahaaa, na kuna uwezekano usiione kabisaPilau nyama unazitafuta kwa toch
Maana notification zitasema hata kama wao hawasemi ila notification zangu za like zitawafikia kuwa nimepiga likesKweli kabisa
Jiji letu Cc blesses hopekaribuni mbeya
Kama ni kupitia barabara ya Kupitia Nkuranga hapanakwa tutokao kusini ya Tanzania, Karibu Mikindani
Pamoja sana jambazi languPokea likes