Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Kwenye masuala ya music bro nothing serious, ila nimependa unavyo uliza safi sana jakitoo kweli amelamba dumeMasuala gani? Hayo masuala flani huwa mnafanyia wapi na wakati gani? Unajua maana ya mate? Come on bro!
Mzee wa liver amepotea, huenda yupo na malkia kwenye harakati zaoYupo kweli
Kote kote Kwema. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hajambo kabisa ndugu yangu.Habari ya Mbagala? Koromije kwema?
Nzuri jirani, Dada, Rafiki kipenzi. Naona harakati za talaka zimeshika kasi[emoji3] [emoji3] pole dadaHabari jirani,kaka,rafiki
Forex zimekaba nadhani. Ukipoteza $1,500 mara moja safari nyingine inabidi uwe makini zaidi. Likes hizi zinaweza kukucost sana !!!Mzee wa liver amepotea, huenda yupo na malkia kwenye harakati zao
Rafiki kipenzi?Nzuri jirani, Dada, Rafiki kipenzi. Naona harakati za talaka zimeshika kasi[emoji3] [emoji3] pole dada
PINDUA PINDUA Inapatikana VODACOM[emoji3] [emoji3]"Mate" wa babe Cole nakusalimu[emoji112] [emoji112]
Gusa uumie baba[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha mambo hayo weye, mwaga talaka watu wapate uhuru[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]PINDUA PINDUA Inapatikana VODACOM[emoji3] [emoji3]
Simama kwa miguu yoote uliyo nayo brother. Wenye stress ni wabaya kwa game[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkimya lakini hatari. Ubro huu si ajabu utanitokea puani. Alijaribu Bob akashindwa. Dogo wa Ukerewe naye nikasavaivu. Hii ya "mate" hii sijui. Ngoja nipambane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]