carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nduguyo simwelewi mimi,mnipe talaka yangu tu la sivyo cha moto mtakionaSikuelewi ujue.Bwana mdogo alisema anaingiliwa na ndugu kwenye mambo madogo madogo ya kifamilia,tumejitoa.
Leo hii ndoa imekushinda? Kivipi?
Uhali gani lakini?