andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ni uzembe wako,usitusingizie na majina ya ajabu hayo.Mwanaume mwenye kusimamisha kichwa chake mara kwa mara lazima ampende carba...Mimi ni ndugu yako lakini na mimi natamanimo ila navumulia kwa ajili yako.Pambana bila parabo mdogo wangu,ipo siku nitakuwa adui yako "ikiwa tu"...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitawaweka alama uwe unawaona wanapenda kuona meli yetu ya upendo inazama