Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f408adfbbafa10ad63606c89a268acfa.jpg
 
4ed926b1f8f0ac0c409697191c6e37be.jpg


Saturday[emoji5] [emoji5]
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeona mara nyingi kuwa watu wanaangalia maisha ya wengine, hisitoria zinajirudia, mara nyingi. Hata mimi nimejitahidi kuepuka hayo . lakini nimeamua kufika mwisho kwa ajili ya kutengeneza maisha ya baadae.
 
Kitu cha kurudi nyuma , hasa kumbukumbu ambazo zinakufanya upoteze lengo lako, kuwa hutaweza kubadilika .historia imeandikwa kwa kutumia kalamu sio penseli, na hutaweza kufuta.
 
Yaliopita ni kama game ya kwenye simu. kila mara tunaporudi kwa ajili ya hayo, kila mara tunapozamia humo, kila muda tunapokaa kwa muda mrefu, tunabadilisha maana kwa kiasi fulani
 
Tunatakiwa kufanya kitu kizuri. ukweli ndio unakukwamisha kwamba kule nyuma ulikuwa na kitu kizuri , kitu ambacho huna sasa. kitu ambacho kinakufanya kusahau mambo yote mazuri yanayokuja kwako.
 
Unarudi kwenye kumbukumbu kwa sababu unaona ni kitu pekee ambacho ulikuwa nacho na hutaweza kukipata tena kama hicho. Badala ya kutafuta kitu kipya wakati uliopo sasa, unabaki kukwama na ya nyuma.
 
Unarudi kwenye kumbukumbu kwa sababu unaona ni kitu pekee ambacho ulikuwa nacho na hutaweza kukipata tena kama hicho. Badala ya kutafuta kitu kipya wakati uliopo sasa, unabaki kukwama na ya nyuma.
 
Lakini kitu cha kuelewa ni kwamba maisha ni mpangilio wa kujifunza mambo. Huenda hukufanya kitu tofauti , labda kama ulikosema kule mwanzo .unatakiwa kufanya kitu kikubwa zaidi kwa ajili ya baadae na kwa ujuzi ulionao.
 
Usijali yaliopita na usishikamane nayo. Usiachie akili yako muda wa kuanza kufikiria hayo mambo ambayo hayana msingi tena kwako. kuona kama ni bora kuliko kilivyokuwa kwa mara ya kwanza. Iwe ni maudhui yako. maisha yametengenezwa kwa kumbukumbu, kubali kwa muda. hatima ipo mikononi mwako.

Fanya maamuzi ya kusonga mbele leo.
 
Back
Top Bottom