Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi sijambo shemeji kipenzi. Please nisaidie katika vita hivi. Zidisha mapenzi kwake ili apunguze mapenzi huku kwa mate wake. Hata kama talaka ipo lakini isubiri subiri kidogo mpaka mambo yangu huku yakae sawa...Puliiiiiiiziiii. Ai wili du enesingi yu wanti...puliiiiziii...
Nashukuru sikia hivyo.

Mimi tena shemeji?akhaaa!sitaki jakamoyo,namwacha ahangaike tu atakipata anachokitafuta[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Shida hapo kwenye ai wili du anesingi yu wanti hapo ndo kwenye mtego[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
BaFHSfwBlQn.jpg
 
Disadvantages za kulala kwa wenyewe
1. Huwezi sema haujashiba ukiulizwa "do you want some more food? "Unasmile unasema "no thank you am okay "saa hizo minyoo zishaform resistance movement[emoji23][emoji23]
2:Huwezi wachilia mnyambo huko usafishe tumbo mtu ubloat mpaka unaumwa na kahasho[emoji23]
3:unashindangwa kuenda haja kubwa
4:ukiweza kuenda haja kubwa inakataanga kuflash
5:huwezi lala mbele ya wenyeji unangoja mpaka time Yao Ifike
6:mtu huamka mapeeeeeema mbele ya kila mtu unashindwa ni nini utafanya... karibu uanze kufyeka nyasi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom