Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyama nyingi za kutunza kwenye majokofu zinatokana na wanyama wasio salama.

Kwa ajili ya utengenezaji wa chakula , ng’ombe mkubwa ni faida kubwa, kuongeza mifugo kwa haraka , wanawachoma sindano za madawa. Na haya madawa huonekana kwenye chakula tunachokula kila siku. Sehemu zingine wamekataza kutumia hizi homoni, lakini kama hapa bado watatumia wataumiza sana watu.
 
Leo uko oni faya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaribu kuepukana na hizi nyama kwa gharama yoyote, badala yake chakua nyama za ng’ombe wanaokula majani ya kawaida porini huko. Wanyama wanaoruhusiwa kutembea kutafuta majani ya kula. Chakula kinachotokana na wanyama wa aina hii wana protein ilio pure kabisa, vitamini na lishe unayohitaji kuipata.
 
Unamaanisha nini? Kumbuka tu hakuna kwenda nje ya ukoo. Zeafo Yego is out. Mzee wa Tukuyu asubuhi alikiri kuwa huwa anakutamani....
Hii ndoa nilikuwa nabaki maana mlikuwa mnanipa faraja na kunipigania kwa mijibaba kama yego,sasa mmejitoa kwa vita na nduguyenu mwenyewe haeleweki,me huu ukoo nahama[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…