Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na kama unafikiri wale samaki wa kufugwa ni uchaguzi salama, nasikitika kukuambia hivyo- ni kwa wale wanaohitaji kubadilika kwa ajili ya afya zao- kinyume chake ni kweli- samaki wa kufugwa sio wasafi, wana madawa ya kiwandani, kuliko samaki wale wa kuvuliwa baharini kwa usalama.