carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Roho yaniuma ujue?Uchochezi[emoji41]
Roho yaniuma ujue?Uchochezi[emoji41]
Shemeji yangu namkubali kwenye hiyo sectorMate wako bro leo anashusha verse mbaya. Nimemuongezea Jameson ya pili sasa hivi....
Sio kituuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona. Kituuuu !!!
Kama ni mimi nisingeitika. Imagine mtu anakuita kitu...so degrading [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matineja hao akina Yego. Huwa sitishiki nao kabisaa...!!![emoji115] [emoji115] [emoji115] watu wanapewa niki nemuzi wewe unasema penzi si mchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua shemeji. Hiyo ni tafsiri yangu. Naona anamdhalilisha tu....Sio kituuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kitoo(yaani ni ja-kitoo)teh!
Hongera shemejiMatineja hao akina Yego. Huwa sitishiki nao kabisaa...!!!
Na mambo yakikataa kurekebishika huwa nawaachia walimwende waende wakajaribu...halafu wanarudi baadaye wakilia na kusaga meno....
Ukiyajulia haya mambo shemeji yangu kipenzi hayakupi shida kivile!!!
Aa...bb...
Kweli penzi limekukolea shemejiNajua shemeji. Hiyo ni tafsiri yangu. Naona anamdhalilisha tu....
Cheka tu shemejiHahaaaa!natamani nicheke kizungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]