Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji115] [emoji115] [emoji115] watu wanapewa niki nemuzi wewe unasema penzi si mchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Matineja hao akina Yego. Huwa sitishiki nao kabisaa...!!!

Na mambo yakikataa kurekebishika huwa nawaachia walimwende waende wakajaribu...halafu wanarudi baadaye wakilia na kusaga meno....

Ukiyajulia haya mambo shemeji yangu kipenzi hayakupi shida kivile!!!
 
Hongera shemeji
Acha me nipambane na talaka yangu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…