Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna kipindi nilimuuliza mtu, ni kitu gani kinakufanya uwe na furaha, alinielezea jinsi tabia ya furaha inavyoleta usawa ndani ya mwili na akili ya mtu. Tunapokuwa na furaha tunapata afya njema . watu husema tuna ng’aa, ni kweli, tunahisi kama tunang’aa!
 
Kujisikia huna afya au mgonjwa ni moja ya sababu watu kujisikia wameshushwa moyo , wana huzuni, wana changanyikiwa na hata kuwa na hasira. Dalili za mwili zinaweza kuumiza kichwa , kuumwa na maumivu, tumbo au matatizo ya utumbo, kwenye mwili na kuhisi uchovu.
 
Zaidi ya kazi za ubongo inasukumwa na njia ya kula vyakula vyenye mlo kamili vyenye amino acid . Na hii ni pamoja na mtu kujisikia vizuri , homoni kukaa sawa, na ni pamoja na kulala, hali, hamu ya kujamiana, hamu, na tabia za kijamii.
 
1.Kula Whole Foods Kwa Moyo Wenye Furaha.

Baadhi ya vyakula , hasa vile vyenye vitamini na madini , vinaweza kukufanya ujisikie vizuri , sio katika kujisikia vizuri bali huweka sawa homoni zako. Kula mlo kamili,mlo wa vyakula kamili vya nafaka kiasi kidogo cha vyakula vinavyotokana na wanyama ni moja ya chombo kinachotunza hisia nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…