Kama huyu mtu anawajibika kwako kwa . uvumilivu, wema na hana wivu kwako
Upendo huvumilia , hufadhili, na wala hauhusudu, hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na sababu hautafuti mambo yake hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote hustahili yote haupungui neno wakati wowote. Mambo matau makubwa ni Imani , Tumaini na Upendo. Lililo kubwa ni UPENDO.
Kama mtu anajua haya , ndio Mungu alivyoelezea Upendo halisi , alitaka tuwe na mahusiano mazuri. Na watu wanatakiwa kuangalia upendo wa kutoa zaidi kuliko kutafuta ya kwako tu
Hapo ndipo kwenye tatizo. Nani ataweza kuishi haya? Ni wewe na mimi
Kwa ajili ya urafiki wa kweli wa kimapenzi, kwanza tunahitaji kupendwa.
Kwa ajili yetu kuzoea aina hii ya upendo katika mahusiano tunahitaji kwanza kuujua upendo wa Mungu kwetu. Huwezi kupata haya mapenzi kama hukuwahi kuuona upendo wa Mungu kwa njia hii, Mungu anayekufahamu , anayejua kila kitu kinachokuhusu wewe. Anakupenda bila sababu.
Mwanzo wa kishindo wa City umewawezesha kucheza mechi 16 za awali katika michuano yote bila kufungwa na mwendo huo umeamsha mjadala kama wanaweza kumaliza kampeni zote bila kufungwa.
Timu ya mwisho kufanya hivyo Ligi Kuu Uingereza walikuwa wapinzani wao wa wikiendi hii, Arsenal 2003/04, ambapo pia Gunners ndiyo timu ya mwisho kuwafunga vijana wa Pep Guardiola kwenye Kombe la FA nusu fainali mwezi Aprili.